Sunday, July 13, 2014

UJERUMANI YAIBUKA BINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2014 DHIDI YA ARGENTINA.



Hatimaye fainali za kombe la dunia zilizo anza rasmi tarehe 12/06/2014 kule nchini Brazil zimefikia tamati usiku huu, huku timu ya Ujerumani ikiibuka mshindi wa kombe la dunia 2014 baada ya kuifunga timu ya  Argentina goli 1-0 katika dakika za nyongeza, mnamo dakika ya 110.

Mtanange huu wa fainali uliokuwa mkali huku timu zote zikishambuliana kwa zamu, hatimaye timu ya Taifa ya Ujerumani imeweza kuibuka kidedea baada ya mchezaji Mario Gotze wa Ujerumani kuifungia timu yake ya Taifa goli pekee na kuiwezesha Ujerumani kuwa mabingwa wapya wa kombe hili dhidi ya wapinzani wao Argentina, mechi hii imechezwa katika dimba la  Maracana jijini Rio de Janeiro.

                                             Kikosi cha timu ya Taifa ya Ujerumani
Wunderbar: Germany's Mario Gotze scored with a brilliant finish to put his team ahead in the dying minutes of the World Cup final against Argentina tonight
 Mario Gotzeakitupia goli pekee la ushindi.
 
Goal! Mario Gotze of Germany scores his team's first goal past Sergio Romero of Argentina in extra time
Goal! Mario Gotze akiipatia Ujerumani goli la ushindi.

Vital goal: Gotze celebrates with (left to right) Andre Schuerrle, Benedikt Hoewedes and Thomas Mueller after scoring during extra-time
Muller, Gotze wakishangilia goli.

The agony and the ecstasy: While the Germans celebrate Gotze's goal, the Argentine players seemed stunned to have conceded so late on
On a wing and a flare: German fans celebrate as the final whistle blows in the Maracana stadium

Elated: After nervously seeing out the final moments of the game, the German team and their fans burst into wild celebrations as the final whistle blew

Champions: German fans wave replica trophies in the air as they celebrate their team's famous win

Mashabiki wa Ujerumani.

Source: Nyanja

No comments:

Post a Comment