Tunawashukuru sana wale wote walioweza kupiga kura na kumuwezesha ndugu yetu kushinda urais.
mungu awabariki sana na tumpe ushirikiano zaidi il serikali yake iwe yenye mafanikio zaid kuliko serikali zilizopita.
MH: RAIS WA JAMHURI YA WANAFUNZI WA SAUT-MWANZA TANZANIA |
MAKAMU WA RAIS BI. MROSSO EMMILINE. |
Mh: Rais kulia akiwa na makamu wake . |
Jengo lililotumika kuhesabia kura za urais na wabunge, MWANJONDE LECTURE THEATER. |
Mh: Rais akitoa tabasam safiiiiiiii. |
Bodaboda nao hawakua nyuma kuweza kushangilia rais wa chuo kikuu SAUT |
wanafunzi SAUT wakimshangilia rais wao mpya |
Aman E. Mbwaga kulia akiwa na rais mpya wa chuo kikuu SAUT. |
No comments:
Post a Comment