Sunday, November 2, 2014
Wednesday, September 24, 2014
BREAKING NEWS First selection of applicants in various programmes At St AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA.
SEP
2014
All selected students are required to report at SAUT Main Campus Mwanza from TUESDAY 23rd September, 2014 from 9.00 a.m. Registration will commence on the same day TUESDAY 23rd September,2014.
We welcome you at SAUT.
Download the list below and the joining instructions: BOFYA HAPA CHINI
Thursday, September 18, 2014
Habari Mpya Kutoka Tcu Kwa Wale Ambao Hawajachaguliwa First Round
Tanzania Commission for Universities
Public Notice to applicants who were not selected during the first round of applicationDuring the first round of application a big number of qualified applicants especially with PCB and CBG combinations were not selected due to competition that is, there were many applicants in a particular programme compared to admission capacity since most of them selected the same programs eg. Doctor of Medicine and Bachelor of Pharmacy. Therefore TCU requested universities offering Health related programmes and other Science programmes to increase their admission capacities in order to accommodate more applicants in the said programmes. In order to be fair the additional slots were configured into the System where another selection was conducted for those applicants who opted for Health related and other Science programmes during the first round of application but could not be selected. TCU hereby notifies such applicants that if they find that they are selected in programmes they applied during the first round it is because of the additional slots. Issued by Executive Secretary TCU 17th September, 2014. |
Wednesday, August 27, 2014
Ajira kwa Wahitimu Elimu ya Juu Mwaka 2014
- Uko hapa:
- Mwanzo
- Ajira
Ajira kwa Wahitimu Elimu ya Juu Mwaka 2014
Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi Tanzania linatarajia kuajiri wahitimu wa vyuo vya Elimu ya Juu wa mwaka 2013/2014. Ili kutekeleza azma hii waombaji watajaza kikamilifu na wataambatanisha vivuli vya vyeti vyao na kutuma Makao Makuu ya Polisi kwa njia ya Posta kabla ya tarehe 31.08.2014 kwa anuani ifuatayo:
Inspekta Jenerali wa Polisi,
Makao Makuu ya Polisi,
S. L. P. 9141,
DAR ES SALAAM
Inspekta Jenerali wa Polisi,
Makao Makuu ya Polisi,
S. L. P. 9141,
DAR ES SALAAM
Waombaji wawe na taaluma zifuatazo:
Shahada: Menejimenti ya Rasilimali Watu, Utawala katika Utumishi wa Umma, Uchumi, Saikolojia na Ushauri Nasihi, Usimamizi wa Sheria na Utekelezaji[BaLE], Sheria, Ualimu, Maendeleo ya Jamii, Uandishi wa Habari, Uandishi wa Habari za Michezo, Mawasiliano ya Umma, TV & Redio Production, Michezo, Ugavi[BA in Procurement & Supplies], Mawasiliano ya Redio[Bsc in Radio Communication], Mazingira[BA in Environmental Disaster Mgt], Uhandisi Mitambo, Uhandisi Madini[Mining Engineering], Uchoraji[BA in Fine Arts], Fedha na Benki[Finance & Banking], Daktari[Medical Doctor] na Daktari wa Meno[Dental Surgeon], Mkemia, Bailojia[Molecular Biology].
Stashahada: Utunzaji Kumbukumbu, Katibu Muhutasi[Personal Secretaries], Mawasiliano ya Redio, Matengenezo ya Kompyuta, Fax na Photocopy Machines, Mafundi Mitambo wa Meli, Mafundi Umeme wa Magari, Ugavi[Procurement & Supplies], TV na Video Production, Manahodha, Tabibu[Clinical Officer], Tabibu wa Meno[Dental Therapist], Mzoeza Viungo[Psysiotherapist/Occupational Therapist], Fundi Sanifu Mionzi[Radiographer] na Fundi Sanifu Macho[Optometrist].
Astashahada: Uzamiaji, Mpishi, Fundi Pikipiki, Fundi Ushonaji na Muuguzi Msaidizi[Enrolled Nurse].
MASHARTI KWA MWOMBAJI
1. Mwombaji atajaza fomu ya maombi kikamilifu na atabandika
picha yake “Ppt Size” kwenye fomu.
2. Mwombaji aambatanishe katika fomu vivuli vya vyeti vyote
yaani cheti cha kuzaliwa, kuhitimu elimu ya sekondari[Leaving
& Academic], cheti/vyeti vya taaluma[Academic Transcript].
3. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.

SIFA ZA MWOMBAJI
1. Awe Mtanzania kwa kuzaliwa.
2. Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 25.
3. Awe amehitimu chuo mwaka wa masomo 2013/2014 tu.
4. Awe na tabia njema.
5. Asiwe na kumbukumbu za kutenda uhalifu.
6. Awe na afya njema[kimwili na kiakili]
7. Awe hajaoa/hajaolewa au kuwa na mtoto.
8. Asiwe na alama za kuchora mwilini[tatuu].
9. Awe na urefu usiopungua sentimita 155.
10. Asiwe mtumiaji wa madawa ya kulevya.
11. Awe hajaajiriwa na idara nyingine Serikalini.
12. Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya Polisi.
13. Awe tayari kufanya kazi popote ndani na nje ya Tanzania.

Pakua Fomu:- Fomu ya Ajira Elimu ya Juu 2013/2014
Saturday, August 9, 2014
Majina ya waliochaguliwa kufanya usahili wa jeshi la polisi kitado cha nne na sita
.
Kuitwa kwenye Usahili:Orodha ya vijana wa kidato cha Sita na Nne waliochaguliwa
Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013 na kidato cha sita mwaka 2014 ambao wamechaguliwa kufanya usaili kabla ya kujiunga na Jeshi la Polisi.
Usaili utafanyika katika miji ya makao makuu ya mikoa Tanzania Bara Kwa tarehe zilizooneshwa kwenye jedwali hapa chini:
| NA | MIKOA | KITUO CHA USAILI | TAREHE ZA USAILI | MUDA WA USAILI |
| 1 | TANGA | OFISI YA RPC TANGA | 18-21 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 2 | PWANI | OFISI YA RPC PWANI | 23-26 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 3 | DSM ZONE | OFISI YA RPC ILALA,KINONDONI,TEMEKE | 28-01 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 4 | MTWARA | OFISI YA RPC MTWARA | 03-06 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 5 | LINDI | OFISI YA RPC LINDI | 08-11 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 6 | SIMIYU | OFISI YA RPC SIMIYU | 18-21 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 7 | SHINYANGA | OFISI YA RPC SHINYANGA | 23-26 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 8 | TABORA | OFISI YA RPC TABORA | 28-01 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 9 | KATAVI | OFISI YA RPC KATAVI | 03-06 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 10 | RUKWA | OFISI YA RPC RUKWA | 08-11 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 11 | KILIMANJARO | OFISI YA RPC KILIMANJARO | 18-21 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 12 | ARUSHA | OFISI YA RPC ARUSHA | 23-26 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 13 | MANYARA | OFISI YA RPC MANAYARA | 28-01 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 14 | SINGIDA | OFISI YA RPC SINGIDA | 03-06 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 15 | DODOMA | OFISI YA RPC DODMA | 08-11 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 16 | KIGOMA | OFISI YA RPC KIGOMA | 18-21 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 17 | MWANZA | OFISI YA RPC MWANZA | 23-26 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 18 | MARA | OFISI YA RPC MARA | 28-01 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 19 | GEITA | OFISI YA RPC GEITA | 03-06 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 20 | KAGERA | OFISI YA RPC KAGERA | 08-11 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 21 | MOROGORO | OFISI YA RPC MOROGORO | 18-21 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 22 | IRINGA | OFISI YA RPC IRINGA | 23-26 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 23 | MBEYA | OFISI YA RPC MBEYA | 28-01 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 24 | NJOMBE | OFISI YA RPC NJOMBE | 03-06 /10/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
| 25 | RUVUMA | OFISI YA RPC RUVUMA | 08-11 /09/2014 | 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI |
Muhimu:
(i) Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo chochote cha usaili kilicho karibu naye kulingana na tarehe zinavyoonesha kwenye jedwali hapo juu ili mradi awe amejiridhisha kuwa ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili. Jeshi la Polisi halitashughulikia usaili wa mtu ambaye hayupo kwenye orodha ya walioitwa kwenye usaili.
(ii) Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili aje na vyeti vyote vya masomo [(Academic Certificate(s)/Results slip(s) & Leaving certificate(s)] na nakala halisi ya cheti cha kuzaliwa (Original Birth certificate)]. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.
(iii) Mwombaji awe na namba ya simu itakayotumika kumjulisha endapo atachaguliwa.
(iv) Kila mwombaji aliyeitwa kwenye usaili atajigharamia usafiri, chakula na malazi kwa muda wote wa zoezi la usaili. Pia waombaji waje na kalamu za wino kwa ajili ya usaili wa kuandika.
Ni muhimu sana kwa kila mwombaji kuzingatia muda wa kuanza usaili.
PAKUA ORODHA YA MAJINA

Subscribe to:
Posts (Atom)