Saturday, August 9, 2014

Majina ya waliochaguliwa kufanya usahili wa jeshi la polisi kitado cha nne na sita

Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013 na  kidato cha sita mwaka 2014 ambao wamechaguliwa kufanya usaili kabla ya  kujiunga na Jeshi la Polisi.
Usaili utafanyika katika miji ya makao makuu ya mikoa Tanzania Bara Kwa tarehe zilizooneshwa kwenye jedwali hapa chini:

NAMIKOAKITUO CHA USAILITAREHE ZA USAILIMUDA WA  USAILI
1 TANGAOFISI YA RPC TANGA18-21 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
2PWANIOFISI YA RPC PWANI23-26 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
3DSM ZONEOFISI YA RPC  ILALA,KINONDONI,TEMEKE28-01 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
4MTWARAOFISI YA RPC MTWARA03-06 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
5LINDIOFISI YA RPC LINDI08-11 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
6SIMIYUOFISI YA RPC SIMIYU18-21 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
7SHINYANGAOFISI YA RPC SHINYANGA23-26 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
8TABORAOFISI YA RPC  TABORA28-01 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
9KATAVIOFISI YA RPC  KATAVI03-06 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
10RUKWAOFISI YA RPC RUKWA08-11 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
11KILIMANJAROOFISI YA RPC KILIMANJARO18-21 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
12ARUSHAOFISI YA RPC ARUSHA23-26 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
13MANYARAOFISI YA RPC MANAYARA28-01 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
14SINGIDAOFISI YA RPC SINGIDA03-06 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
15DODOMAOFISI YA RPC DODMA08-11 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
16KIGOMAOFISI YA RPC KIGOMA18-21 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
17MWANZAOFISI YA RPC  MWANZA23-26 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
18MARAOFISI YA RPC  MARA28-01 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
19GEITAOFISI YA RPC GEITA03-06 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
20KAGERAOFISI YA RPC  KAGERA08-11 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
21MOROGOROOFISI YA RPC MOROGORO18-21 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
22IRINGAOFISI YA RPC IRINGA23-26 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
23MBEYAOFISI YA RPC  MBEYA28-01 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
24NJOMBEOFISI YA RPC  NJOMBE03-06 /10/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
25RUVUMAOFISI YA RPC RUVUMA08-11 /09/201408:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
 Muhimu:
(i) Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo chochote cha usaili kilicho karibu naye kulingana na tarehe zinavyoonesha kwenye jedwali hapo juu ili mradi awe amejiridhisha kuwa ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili. Jeshi la Polisi halitashughulikia usaili wa mtu ambaye hayupo kwenye orodha ya walioitwa kwenye usaili.
 (ii) Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili aje na vyeti vyote vya masomo [(Academic Certificate(s)/Results slip(s) & Leaving certificate(s)] na nakala halisi ya cheti cha kuzaliwa (Original Birth certificate)]. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.
 (iii) Mwombaji awe na namba ya simu itakayotumika kumjulisha endapo atachaguliwa.
 (iv) Kila mwombaji aliyeitwa kwenye usaili atajigharamia usafiri, chakula na malazi kwa muda wote wa zoezi la usaili. Pia waombaji waje na kalamu za wino kwa ajili ya usaili wa kuandika.
 Ni muhimu sana kwa kila mwombaji kuzingatia muda wa kuanza usaili.
PAKUA ORODHA YA MAJINA

No comments:

Post a Comment