Wednesday, September 11, 2013

MTANZANIA ADAM NDITI NA SAMUEL ETO'O KWENYE MAZOEZI YA KWANZA CHELSEA CHINI YA JOSE MOURINHO

Kocha Jose Mourinho akimpa maelekezo kinda wa timu hiyo mtanzania Adam Nditi katika mazoezi yaliyofanyika katika viwanja vya Cobham

Adam Nditi akimsikiliza kwa makini Jose Mourinho pamoja na De Bruyne na Hazard
Eto'o na Nditi kwenye mazoezi 


source shaffih dauda in sports.

No comments:

Post a Comment