Saturday, May 4, 2013

VIONGOZI WAPYA WA SSPRA WACHAGULIWA LEO.

VIONGOZI WAPYA WA SSPRA WAPATIKANA LEO BAADA YA UCHAGUZI.
Chama cha Wanafunzi Wa mahusiano ya Umma na Masoko kutoka chuo kukuu cha Mt. Augustino kimefanya uchaguzi wa viongozi wapya, katika ngazi za Mwenyekiti, Sing'ambi Athanas, Mwenyekiti Msaidizi Mapura Ndege, Katibu Mkuu, Mbwaga Aman E. Katibu Msaidizi, Ephraim  Rodrich. Msemaji Mkuu wa chama Athanas Mathias,  Msemaji Msaidizi, Jesse Edwin, Mhazini Mkuu, Zawad  Kyando  Mhazin Msaidizi  Wilson Bahath.  Tunawashukuru wote waliohidhuria  uchaguzi huu, kwa pamoja tujenge chama chetu .

Viongozi wapya wa SSPRA.

SING'AMBI ATHANAS (MWENYEKITI WA SSPRA)
AMAN  E MBWAGA (KATIBU MKUU )




KATIBU MSAIDIZI WA SSPRA
ATHANAS MATHIAS MSEMAJI KUU WA SSPRA
JESSE EDWIN MSEMAJI MSAIDIZI  WA SSPRA
ZAWAD KYANDO MHAZINI MKUU
WILSON  BAHATH  MHAZINI MSAIDIZI






MWENYEKITI WA   KAMATI YA MAADILI NA WELEDI AKIFUATILIA MCHAKATO WA UCHAGUZI .



ODILO JOHN   MWAENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI AKITANGAZA MATOKEO

























No comments:

Post a Comment