Tuesday, May 28, 2013

MH.WAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI SAMWEL SITTA APENDEZESHA MAHAFALI YA 3 YA SSPRA.

MH. SAMWEL SITTA WAZIRI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI APENDEZESHA MAHAFALI YA 3 YA SSPRA. PALE ROYAL SUNSET BEACH JIJINI MWANZA. AKIWA NA VIONGOZI WA CHUO CHA MT AGUSTINO. MAKAMU MKUU WA CHUO, Rev Fr Charles kitima, MAKAMU MKUU WA CHUO TAALUMA Rev Fr. Thadeus mkamwa, MWAJIRI WA CHUO (HRD) Mr Mwidima, MKUU WA IDARA YA MAWASILIANO YA UMMA NA MATANGAZO Mrs Mwidima RAIS WA CHUO Mscheshi, na baadhi ya wahadhiri wa chuo hiki. pia mgeni rasmi wazira SITTA  amehaidi kuchangia vifaa mbalimbali vitkavyotumika katika PR laboratory ili wanafunzi waweze kujifunza kwa vitendo zaid na si kutegemea nadharia tu. hii itasaidia wanfunzi baad ya kumaliza masomo yao wawe na uwezo wa kujiajili wenyewe.

Rev Fr Dr Mkamwa Thadeus akifungua sherehe kwa maombi

Mh. samweli sitta kushoto akiteta jambo na makamu mkuu wa chuo Rev Fr. Dr Charles Kitima









Meza kuu ikisikiliza risala kutoka kwa wanachama wa SSPRA
Mwenyekiti wa SSPRA Athas sing'ambi akisoma risala mbele ya mgeni rasmi

Mwenyekiti akikabidhi risala kwa mgeni rasmi
Mameneja Mahusiano ya umma  wa chuo kikuuu SAUT
Baadhi ya wahitimu wa SSPRA
Mh waziri wa Afrika mashariki Samweli Sitta akiwahutubia wanacham na wahitimu wasspra.
Makamu mkuu wa chuo padi Dr charles Kitima akitoa nasaha zake kwa sspra wanaohitimu na wanaobaki
Dr Thadeus Mkamwa akitoa neno kwa wahitimu
Mlezi wa SSPRA Lect Mrisho akitoa nasaha zake kwa wahitimu
Anamkaribisha mkuu wa idara ya mahusiano ya umma na Matangazo

Mr Albert TIBAIJUKA mlezi wazaman wa SSPRA akiwa na Mrs mwidima mkuu wa idara

   


 Mr Makonda Rais wa vyuo vikuu Tanzania

Mr Ngonyan c mwenyekiti wa SSPRA Mstaafu
 Mr Aman E Mbwaga Katibu mkuu wa SSPRA Akifurahia kombe la FAWASCO
 Baadhi ya wachezaji wa PR 3 waliowezesha kuchukua kombe lililetwa kwa mgeni rasmi ili ashuhudie  vipaji vilivyoko kwa mameneja mahusiano na masoko

Mgeni Rasmi akipga makofi baada ya kukata Keki

Baadhi ya wakufunzi waliohudhuria  maafali ya 3 ya SSPRA wakiongozwa na Ms Adeline Mpuya
Mr MAHAMBA kushoto Mr mpagaze D na mwisho ni Mr lila s Mandu wahadhiri wa SAUT.
 Rais wa chuo SAUT kushoto na Katibu mkuu SSPRA kulia wakitoa  burudan
 Naye mwaenyekiti SSPRA  Hakubaki mbali





No comments:

Post a Comment