Huduma ya uinjilisti katika kijiji cha Busulwangili Kahama Shinyanga. iiyofanywa na Wanafunzi wa chuo Kikuu SAUT- MWANZA. Wajulikanao kama USCF (UKWATA) Kuanzia Tarehe 16-20 April 2014 Kipini ccha Pasaka. Mkutano huo uliongozwa na Mtumishi wa Mungu DANIEL MWAITENGA
( Mwanafunzi wa Uchumi Mwaka wa Tatu) Neno Kuu la Mkutano ni: SIKU TANO ZA UREJESHO. Karibu Uhabarike Na Matukio Kwa njia Ya Picha.
Mtumishi wa Mungu Daniel Mwaitenga Akiwahubiria Mamia ya Watu Wa Busulwangili. |
Praise & Worship Team Uscf SAUT Wakimsifu Mungu |
Baadhi ya Mamia Ya watu Wa Busulwangili wakisikiliza Mahubiri kwa Makini |
Hapa ni Kaniza La Moraviana Mkolani Ndipo safari ilipoanza |
Wana USCF- SAUT MWANZA wakiwa ktk Basi kuelekea Kahama shinyanga Ktk Kijiji cha Busulwangili. |
Joel Elphas Katibu wa Taarifa na Mawasiliano UCSF SAUT Akiwa ktk Kivuko cha MV. MISUNGWI Kuelekea kwenye Huduma Huko BUSULWANGILI. |
Huu ndio Usafiri Maarufu wa Kuelekea Busulwangili |
Isakwisa na Shemahonge Wakuu wa msafara wakijadiliana jambo, hapa ni Kakola |
Hapa ni mji wa kakola -shinyanga Tukisubiri Usafiri wa Trecta kuelekea Kijiji cha Busulwangili |
Hapa sasa Barabara Ni Mbovu Mno Ilitupasa kutembea kwa miguu. |
Aman Mbwaga akiwa Mbele akifuatiwa na Manka na NYUMA YAKE NI Mama Aliyekuwa anachukua Video shooting ya HudumaTukivuka kwenye Maji mengi Hii ndo Hali Halisi ya Vijijini. |
Goodluck akifanya Huduma ya Uponyaji na uokoaji mara baaada ya Ibada ya njia ya Sinema |
Mtumishi wa mungu Daniel Mwaitenga. |
Waacheni Watoto wadogo, Waje Kwangu Msiwazuie kwa maana Ufalme Wa mbinguni ni wao. Hawa ni baadhi ya watoto waliohudhuria mkutano wa Injili |
Wakitoa Shuhuda Mara baada ya Kufunguliwa na Kupona Magonjwa. |
USCF- Prays & Worship Team Wakimsifu Na Kumuabudu Mungu. |
Kwaya ya AIC Vijana Kakola |
Mchungaji wa Kanisa La AICT- Busulwangili Ambaye ndie alikuwa Mwenyeji wetu. |
Huduma ya nyumba kwa nyumba hadi mashambani |
Kwaya ya Busulwangiliikimsifu Mungu |
Mtumishi wa Mungu Mkilamwene Akifundisha Semina huko Busulwangili |
Ni wakati wa Msosi |
Hapa ilikuwa ndo Siku ya Mwisho ya huduma watu wakifanyiwa Maombezi pia Na kutoa Msaada kwa wale wsiojiweza kama vile nguo, sabuni nk. |
Mungu Ibariki kazi hii wabariki vijana hawa, Ibariki USCF-SAUT MWANZA, Waendeleeee na kazi ya Injili Vijijini.Amen
No comments:
Post a Comment