Tuesday, April 29, 2014

HABARI MPYA : NEW PROGRAMMES COURSE AT SAUT-MWANZA 2014/2015. CHANGAMKIA FURSA HII.



CHUO KIKUU CHA MT. AUGUSTINO  KINATANGAZA  KOZI MPYA AMABAZO ZINAANZA MWAKA HUU. EWE MTANZANIA MWAFRIKA  NA DUNIANI KOTE UNAKARIBISHWA KUJIUNGA NA CHUO BORA KABISA AFRIKA KINACHOTOA WANAFUNZI MAKINI WANAOAJILIWA NA WANAOKUWA NA UWEZO WA KUJIAJILI  SEHEMU MBALIMBALI HAPA DUNIANI.
"WE ARE  BUILDING THE CITY OF GOD"




Sunday, April 27, 2014

SIKU TANO ZA UREJESHO By Daniel Mwaitenga. USCF -SAUT MWANZA.



Huduma ya uinjilisti katika kijiji cha Busulwangili  Kahama  Shinyanga. iiyofanywa na Wanafunzi wa chuo Kikuu SAUT- MWANZA. Wajulikanao kama USCF (UKWATA) Kuanzia Tarehe 16-20 April 2014 Kipini ccha Pasaka. Mkutano huo uliongozwa na Mtumishi wa Mungu DANIEL MWAITENGA                 
 ( Mwanafunzi wa Uchumi Mwaka wa Tatu) Neno Kuu la Mkutano ni: SIKU TANO ZA UREJESHO.  Karibu Uhabarike Na Matukio Kwa njia Ya Picha.


Mtumishi wa Mungu Daniel Mwaitenga Akiwahubiria Mamia ya Watu Wa Busulwangili.


Praise & Worship Team Uscf SAUT Wakimsifu Mungu

Baadhi ya Mamia Ya watu Wa Busulwangili wakisikiliza Mahubiri kwa Makini

Hapa ni Kaniza La Moraviana Mkolani  Ndipo safari ilipoanza

Wana USCF- SAUT MWANZA wakiwa ktk Basi kuelekea Kahama shinyanga Ktk Kijiji cha Busulwangili.

Joel Elphas Katibu wa Taarifa na Mawasiliano UCSF SAUT Akiwa ktk Kivuko cha MV. MISUNGWI Kuelekea kwenye Huduma Huko BUSULWANGILI.
Huu ndio Usafiri Maarufu wa Kuelekea Busulwangili

Isakwisa na Shemahonge Wakuu wa msafara wakijadiliana jambo,  hapa ni Kakola

Hapa ni mji wa kakola -shinyanga Tukisubiri Usafiri wa Trecta kuelekea Kijiji cha Busulwangili

Trecta hili ndilo liliokua Usafiri wetu Mkuu wa Kutufikisha Ktk Kijiji cha Busulwangili Tuli -enjoy sana Kutumia Usafiri huu Kwani wengi wetu ilikuwa ndio Mara ya Kwanza toka kuzaliwa. Kwa kweli Mungu ni mwema Wakati wote Kwani ulitufikisha salama kabisa.

Hapa sasa Barabara Ni Mbovu Mno Ilitupasa kutembea kwa miguu.


Aman Mbwaga akiwa Mbele akifuatiwa na Manka na NYUMA YAKE NI Mama Aliyekuwa anachukua Video shooting ya HudumaTukivuka kwenye Maji mengi Hii ndo Hali Halisi ya Vijijini.



Goodluck akifanya Huduma ya Uponyaji na uokoaji mara baaada ya Ibada ya njia ya Sinema

Mtumishi wa mungu Daniel Mwaitenga.

Waacheni Watoto wadogo, Waje Kwangu Msiwazuie kwa maana Ufalme Wa mbinguni ni wao. Hawa ni baadhi ya watoto waliohudhuria mkutano wa Injili




Wakitoa Shuhuda Mara baada ya Kufunguliwa na Kupona Magonjwa.



USCF- Prays & Worship Team Wakimsifu Na Kumuabudu Mungu.



Kwaya ya AIC Vijana Kakola



Mchungaji wa Kanisa La AICT- Busulwangili Ambaye ndie alikuwa Mwenyeji wetu.


Huduma ya nyumba kwa nyumba hadi mashambani





Kwaya ya Busulwangiliikimsifu Mungu
Mtumishi wa Mungu Mkilamwene Akifundisha Semina huko Busulwangili


Ni wakati wa Msosi






Hapa ilikuwa ndo Siku ya Mwisho ya huduma watu wakifanyiwa Maombezi pia Na kutoa Msaada kwa wale wsiojiweza kama vile nguo, sabuni nk.
















Mungu Ibariki kazi hii wabariki vijana hawa, Ibariki USCF-SAUT MWANZA, Waendeleeee na kazi ya Injili Vijijini.Amen