Monday, February 24, 2014

Milipuko yarindima Zanzibar

Mji wa Zanzibar
Polisi Visiwani Zanzibar wamethibitisha kutokea milipuko mitatu ya mabomu kati ya Jumapili na Jumatatu leo mchana visiwani humo.
Akizungumza na mwandishi wetu Erick David Nampesya, mkuu wa Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame amesema milipuko miwili imetokea leo katika eneo la mgahawa wa Mercury huku mlipuko mwingine ukiwa umetokea katika eneo la Mkunazini, ikifuatia mlipuko uliotokea jana Jumapili katika eneo la Pangawe.
Mkuu huyo wa Polisi Zanzibar amesema kuwa hakuna vifo wala majeruhi katika matukio yote matatu wala mali iliyoharibiwa, isipokuwa madhara ya kisaikolojia kutokana na hofu na taharuki kutokana na matukio hayo.
Aidha mkuu huyo wa Polisi ameeleza kuwa upelezi unaendelea ili kuwabaini waliohusika katika matukio hayo ingawa hadi wakati huu hakuna mtu au mshukiwa yeyote aliyekwishamatwa kuhusiana na matukio hayo.
Kuhusu hatua za tahadhari kufuatia matukio hayo Kamanda Makame amesema Polisi wanaendelea kuimarisha ulinzi katika sehemu mbali mbali visiwani humo ikiwa ni pamoja na kufanya doria katika maeneo kadhaa na amewaondoa hofu wananchi wa visiwa hivyo kuhusu usalama wao.

source:bbc

Friday, February 21, 2014

MATOKEO 2013: ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 HAPA


Matokeo ya kidato cha nne yaliyofanyika mwanzoni mwa mwezi November, 2013 yametoka 
Matokeo ya Kidato cha nne 2013 huku kiwango cha ufaulu kikiwa kimepanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.

Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%).

Je, nini maoni yako kuhusu matokeo haya? Weka maoni yako hapa.
unaweza kuangalia hapa kwa kuclick link hii 

BOFYA HAPO MATOKEO UYAPATE VIZURI KABISA
SOURCE: Nyanja.

Thursday, February 20, 2014

Wanahabari kufikishwa mahakamani Misri


Waandishi habari waliokamatwa Misri
Waandishi habari 20 wakiwemo 4 wa kigeni wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo mjini Cairo, Misri.
Wanne hao wanakabiliwa na makosa ikiwemo, kujihusisha na shirika la kigaidi na kuhatarisha usalama wa kitaifa.

Kesi dhidi ya waandishi wengine wakiwemo waandishi wawili waingereza, itakasikilizwa bila ya wao kuwa mahakamani.Washitakiwa wanane miongoni mwao mhariri mkuu wa ofisi ya shirika la habari la Al Jazeera Misri Mohamed Adel Fahmy na aliyekuwa mwandishi wa BBC Peter Greste pamoja na raia mmoja wa Australia watafikishwa kizimbani.
Shirika la habari la Al-Jazeera linasema kuwa tisa pekee ya wale waliokamatwa ni wafanyakazi wake na walikuwa wanaripoti tu kuhusu matukio nchini Misri walipokamatwa
Aidha shirika hilo limetaja madai dhidi ya wanahabari hao kama ya kipuuzi na yasiyo na msingi na pia limekanusha kusaidia vuguvugu na Muslim Brotherhood ambalo limetajwa kuwa kundi la kigaidi baada ya kuondolewa mamlakani kwa rais wa zamani Mohammed Morsi
Wizara ya mambo ya kigeni Marekani imeituhumu serikali ya Misri kwa kuwalenga waandishi wa habari kwa kuwasingizia mashitaka yasiofaa waandishi hao na kupuuza haki za binadamu.
source bbc.

Sunday, February 16, 2014

Serikali kuajiri wafanyakazi 500 kukabiliana na Ujangili



Tanzania is determined to intensify the fight against poaching and illegal ivory trade through employment of more wildlife management personnel to patrol and protect its wildlife, President Jakaya Kikwete has declared.




“We have already embarked on an ambitious programme to increase employment of these cadres, last year we allocated funds to employ 459 game rangers and wardens while this year we will employ additional 500 personnel,”


Mr Kikwete made the remarks here on Thursday while addressing delegates at the London Conference on the Illegal Wildlife Trade 2014 held at the Lancaster House.


The one-day meeting drew delegates from over 50 countries and was attended by among others Britain’s Prime Minister David Cameroon, Prince Charles and his two sons Prince William and Prince Harry.


Mr Kikwete further said 
Tanzania seeks to meet the total requirements of 4,788 game rangers by the year 2016 from the current rate of 1,088 rangers.


The President asked developed nations to support African countries by training anti-poaching personnel as well as providing the countries with technology and equipment to fight poaching.


“Our game rangers and wardens need to be empowered with better and modern equipment so that they can effectively perform their duties.


“Among others, they need vehicles, surveillance and modern communication equipment. Unfortunately, we are falling short of these needs. Much more needs to be done and support from the international community is critical,” he observed.


President Kikwete also asked the developed countries to support countries affected by poaching to build more capacity on inspection at ports and points of exit to ensure that no cargo containing ivory, rhino horns or other contraband goods would cross borders without being detected.


“Inspection is constrained by lack of adequate financial resources to acquire requisite technology. Support in this regard would be highly appreciated,” he noted.


Describing the London conference as a historic opportunity to take a landmark decision to save elephants and rhinos, the Head of State said he was optimistic the international community would pronounce itself on supporting developing nations in the war against poaching and illegal wildlife trade.


The President observed that the trade in ivory and rhino horns threatens the survival of elephants and rhinos to unprecedented proportions, citing Tanzania as a living example of the menace of the trade.


Despite the challenges the country faces in the fight against the vice, he noted, however, that there are some achievements which have been recorded through various operations mounted jointly by the police, the army and game wardens and rangers.



According to Mr Kikwete, the country has through a task force formed by the Ministry of Natural Resources and Tourism managed to tame poaching of wildlife in the northern part of the country, adding that the task force has been directed to replicate the efforts in southern and western Tanzania.


Meanwhile, President 
Jakaya Kikwete granted interview to the CNN on Thursday night. During interview with the CNN announcer, Christiane Amanpour he confirmed to the world about the magnitude of wildlife poaching describing the situation as “madness”.


Responding to a question from the reporter who asked whether what is reported was exaggeration or not, President Kikwete said that it was a fact.


At independence Tanzania had 350,000 elephants but by 1987 there were only 55,000 elephants left,” he was quoted on CNN.


President Kikwete joined Amanpour in London, where heads of state are meeting to find a solution to end illegal poaching before it’s too late.
“This is madness now, it is just impossible… it’s a serious matter,” he said describing the current situation.


Incidents of poaching are on the rise fuelled by a growing demand for ivory and rhino horns in Asia. There are also concerns that poaching is helping to fund violent groups in the region.

When it comes to destroying ivory stockpiles, as countries like the United States and China have done in the past, President Kikwete says his country is considering doing the same thing to show it is an unacceptable trade.

“We have about 112 tonnes of ivory… we used to have the idea of asking permission to sell, but we don’t think, these are not the times
”.


It’s not the right time, he says, because it was the relaxation of laws that opened the door to more poaching in the first place.
When addressing delegates at the London Conference on the Illegal Wildlife Trade, he cited a ban on ivory trade in the year 1989 by the Convention on International Trade in Endangered Species of Wild Fauna and Flora (CITES) which played a crucial role in stopping the trade.

“When CITES banned ivory trade in 1989 it helped the recovery of elephant population. I believe if the trade is banned today the effect will be the same and many lives of elephants and rhinos will be saved,” Mr Kikwete said.





By ALVAR MWAKYUSA, Tanzania Daily News

Wednesday, February 12, 2014

Arsenal kupepetana na Man United


Mesut Ozil
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, anatarajiwa kuwa nyota wake aliyesajiliwa kwa kitita cha pauni milioni 42, atarejelea hali yake ya kawaida na kuonyesha mchezo mzuri, kufuatia msururu wa matokeo mabaya.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35, kutoka Ujerumani, hajafunga bao lolote katika mechi nane zilizopita huku akiwa amechangia kupatikana na magoli mawili pekee katika mechi hizo.
Ozil, ambaye alijiunga na Arsenal, kutoka kwa klabu ya Real Madrid Septemba mwaka uliopita, alianza vyema kwa kufunga magoli manne na kuchangia kupatikana na magoli sita katika mechi zake kwanza kumi na mbili za ligi kuu.
Lakini mcheza kiungo huyo, alishutumiwa vikali kufuatia mchezo aliouonyesha wakati Arsenal ilipolimwa magoli 5-1 na Liverpool, hali iliyomlazimu Wenger kumuondoa kunako dakika ya sitini na moja.
Ozil na wachezaji wengine wa Arsenal
Akiongea kabla ya mechi yao katika Uwanja wa Old Trafford siku ya Jumatano usiku, Wenger alisema kuwa anadhani David Moyes anaweza kufanikiwa kama kocha wa United ikiwa atapewa muda.
Julai mwaka uliopita, Moyes aliteuliwa kuchukua mahala na Sir Alex Ferguson ambaye alistaafu kama kocha wa Manchester United baada ya kushinda ligi kuu ya Premier mara 13 katika kipindi cha miaka 27, lakini amekuwa na kibarua kigumu kufuata nyayo za Ferguson.
Manchester United inashikilia nafasi ya sana kwa kwenye msururu wa ligi kuu na alama 41 na hata ikishinda mechi yake dhidi ya Arsenal, Viaja hao wa Moyes watasalia katika nafasi hiyo hiyo.
source :bbc

Tuesday, February 11, 2014

Wafanyakazi wa Red Cross watekwa Mali


Kundi la wapiganaji la MUJAO nchini Mali
Shirika la habari la AFP linasema kuwa kundi la wafanyikazi wa shirika la msalaba mwekundu ambao walitoweka Kaskazini mwa Mali limetekwa nyara na wapiganaji wa kiislamu.
Shirika hilo linasema kuwa wapiganaji wa kundi la umoja na Jihad Magharibi mwa Afrika (Mujao) wamethibitisha kuyakamata magari manne na kusema kuwa abiria waliokuwa ndani ni maafisa wa shirika la msalaba mwekundu.

Wafanyakazi wa shirika hilo wanasema kuwa waliotekwa nyara wako salama na bukheri wa afya mikononi mwa wapiganaji hao wa kiislamu.Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya kati , Generali Babacar Gaye, ametoa wito wa kuchukuliwa kwa hatua za dharura kuzuia kuenea kwa ghasia zaidi ambazo anasema zinaligawanya taifa hilo .
Kundi la MUJAO ni moja ya makundi ya wapiganaji walio na uhusiano na kundi la kigaidi la Al-Qaeda ambalo lilidhibiti kaskazini mwa Mali mwaka 2012 kabla ya kuondoshwa kutoka eneo hilo na wanajeshi wa Ufaransa mwezi Januari mwaka jana.
Kundi hilo linasemekana kutuma taarifa iliyosema, ''Asante kwa Mungu tumekamata gari lenye maadui wa uisilamu wakiwa na washirika wao. ''
Msemaji wa shirika hilo Alexis Heeb kulingana na AFP alisema kuwa wafanyakazi hao wanne wa shirika la Red Cross na mfanyakazi mmoja kutoka katika shirika lengine la misaada walitoweka Jumamosi wakiwa ndani ya gari lao katika eneo lililo kati mwa miji ya Kidal na Gao.
Watu hao wote ni raia wa Mali.
AFP ilimnukuu msemaji huyo akisema kuwa'' sasa hivi tuna wasiwasi mkubwa na tunajaribu kuwasiliana na kila mtu tunayemjua kuhakikisha usalama wao. Inaarifiwa kuwa kundi hilo linarejea katika ngome yao mjini Gao.
SOURCE: BBC



Friday, February 7, 2014

Milipuko miwili yaitikisa Cairo


Ramani ya Misri
Mabomu mawili yamelipuka karibu na mji mkuu wa Misri, Cairo katika daraja linalopita juu ya kizuizi cha polisi.
Msemaji wa polisi Jenerali Mahmoud Farouk, yalilenga magari mawili ya polisi wa kupambana na ghasia yaliyokuwa yameegeshwa katika mji wa Giza kushika doria katika msikiti uliopo karibu kabla ya swala ya Ijumaa.
Zaidi ya polisi watatu wamejeruhiwa. Polisi wamezingira eneo hilo. Kumekuwa na maandamano ya mara kwa mara kila Ijumaa nchini Misri tangu jeshi limwondoa madarakani rais aliyezingatia itikadi za kiislamu Mohhamed Morsi mwezi Julai mwaka uliopita.
source bbc.

Thursday, February 6, 2014

MBIO ZA URAIS 2015 sumaye Aitisha Ccm

sumaye 5afa9
MBIO za urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimezidi kuibua mambo mapya, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, kudai atachukua uamuzi mgumu kama chama chake kitateua mgombea urais asiye na sifa.
Akizungumza Radio Tumaini, mjini Dar es Salaam jana asubuhi, Sumaye alisema kama CCM itafanya mambo ya ajabu kwa kuteua mgombea asiyekubalika wala kuwa na sifa za kiongozi mwadilifu, atafungua ukurasa mpya.
“Nitachukua uamuzi mgumu kama CCM watateua mgombea ambaye hana sifa ya kuwaongoza Watanzania, nitachukua uamuzi mgumu, haiwezekani tukaongozwa na watu wanaotoa fedha nyingi kila kukicha.
“CCM wakifanya mambo ya ajabu kwa kuchukua mtu ambaye ametoa fedha, nitatafuta njia nyingine,” alisema.
Alisema hata siku moja hatakuwa na kinyongo kama atateuliwa mtu safi na mwenye moyo mweupe wa kusaidia Watanzania.
Alipoulizwa swali kama atagombea urais, alisema “Mimi sisemi kama nagombea, nakwambia muda ukifika nitasema tu, kwa wakati huu naomba tuendelee kutulia kwanza.
“Muda ukifika nitaamua nini cha kufanya, unajua unapotaka kuchukua uamuzi huu kuna mambo mazito ambayo unapaswa kuyatafakari kwa undani zaidi.
“Miongoni mwa mambo haya, ni kusaidia Watanzania kutoka walipo ili wapige hatua moja mbele zaidi, kuachana na tabia ya mtu mmoja kujitajirisha kupita kiasi,” alisema Sumaye.
Alisema kama Watanzania wakimhitaji ili awasadie, atakuwa tayari kufanya hivyo.
“Muda ukiwadia na Watanzania wakisema wananihitaji, basi nami nitakuwa tayari kuwasaidia…jukumu hili linahitaji mtu mwenye busara sana,” alisema Sumaye.
Alipoulizwa kuhusiana na hali ya CCM kwa sasa, alisema kuna tofauti kubwa katia ya CCM ya mwaka 1977 na ya sasa ambayo imekuwa ikikumbwa na matukio mengi.
Akitoa mfano, alisema: “Hivi sasa ukitaka kugombea lazima uwe na fedha, haya ni mambo machafu ambayo CCM yetu ya miaka ya 77 haikuwapo kabisa.
“Nalisema hili kutoka moyoni mwangu, nimekuwa mbunge na mjumbe wa NEC kwa miaka 20, sijawahi kutoa rushwa wala kupokea.
“Ukiona watu hao wanatoa rushwa, ujue moja, hawana uwezo wa kuongoza wananchi wao na ndani ya mioyo yao hawana dhamira safi zaidi ya kutanguliza maslahi yao.
“Nikikuhonga leo ujue sina nia njema, sitakuhudumia pindi nitakapoingia madarakani, nitaanza kwanza kutafuta namna ya kurudisha fedha zangu… hii ni vita ambayo CCM tunapaswa kuipinga kwa nguvu zote,” alisema Sumaye.
MUUNDO WA SERIKALI
Akizungumzia muundo wa Serikali, alisema yeye ni muumini wa muundo wa serikali mbili siku zote na atendelea kusimamia ukweli huo.
“Haiwezekani ndani ya taifa hili tukawa na serikali tatu, hivi Rais wa Jamhuri ambaye anamiliki mali nyingi, akisema anamnyima Rais wa Tanganyika misaada nini kitatokea… huu ndio mwanzo wa kuondoa utulivu wetu, tuwe makini, tutaparanganyika,” alisema Sumaye.
RUSHWA
Kuhusu rushwa, alisema wakati wa utawala wa awamu ya tatu, chini ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa, walipambana vya kutosha, ikiwa ni pamoja na kuondoa kipengele cha takrima.
“Tumepambana vya kutosha dhidi ya rushwa, hata takrima tulihakikisha inaondolewa wakati ule baada ya kubaini uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulijumuisha madiwani, ndiko hali hiyo ilikuwa imejikita.
“Nakumbuka enzi za utawala wangu, niliagiza idara zote za serikali mikoani na wilayani kukutana kwa saa moja kujadiliana masuala ya rushwa na ugonjwa wa Ukimwi,” alisema Sumaye.
MAWAZIRI MIZIGO
Akizungumzia utendaji kazi wa awamu yake, Sumaye alisema ndani ya Baraza la Mawaziri hakukuwa na mawaziri mizigo.
“Sikuwa na mawaziri mizigo kwenye utawala wangu, utaona hata umma kwa sehemu kubwa unakiri tulifanya kazi nzuri.
“Nakwambia ukiwa na mizigo unapaswa kuitua haraka sana kabla ya watu hawajakuona,” alisema Sumaye.
WAPINZANI
Kuhusu vyama upinzani, Sumaye alisema vimekuwa na mchango mkubwa wa kuimarisha serikali katika utekelezaji wa mambo muhimu.
“Siku zote nimekuwa muumini mkuu wa upinzani, wamekuwa kiungo muhimu, natamani kuona wanaingia kwa wingi kwenye Bunge letu, michango yao mizuri…nawaomba waendelee hivi hivi wasirudi nyuma,” alisema Sumaye.
MBOWE
Kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, kwamba Katiba itapatikana kwa ngumi, Sumaye alisema kauli hiyo si nzuri, kwa sababu amani ikitoweka, si CCM wala CHADEMA watakaopona.
“Nimemsikia akiruka na helikopta zake huko mikoani na kusema atatumia nguvu, hivi jamani leo amani ikitoweka, CCM na CHADEMA watapona?” Alihoji Sumaye
 Chanzo: mwananchi

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI NCHINI:NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KWA WAHITIMU WATARAJIWA WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014

Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013. Ili kutekeleza azma hii tumeweka fomu kwenye tovuti ambayo wahitimu watarajiwa wa kidato cha sita wa mwaka 2014 watajaza kabla ya kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha sita. Baada ya kujazwa kikamilifu wakabidhi fomu kwa wakuu wa shule ambao watazirejeshe kwa Makamada wa Polisi wa mikoa kabla ya tarehe 17.03.2014. Wahitimu wa kidato cha nne wasijaze fomu hizi walishajaza kupitia “selform” walizojaza walipokuwa shuleni.

MASHARTI KWA MWOMBAJI:
  1. Mwombaji anatakiwa ajaze fomu hii kikamilifu na abandike picha yake “Passport Size” kwenye fomu kisha akabidhi kwa Mkuu wa Shule kwa hatua zaidi.

  2. Kila mwombaji aandike namba ya simu kwa usahihi na anuani yake ya kudumu ambayo itatumika wakati wa kuitwa kwenye usaili.

  3. Bofya hapa kupakua Fomu ya Chaguo

Imetolewa na:
Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi,
Makao Makuu ya Polisi,
S.L.P. 9141,
DAR ES SALAAM.

Comments

Saturday, February 1, 2014

Downoad rasimu ya ii ya katiba hapa

http://www.jamiiforums.com/katiba-mpya/577633-rasimu-ya-ii-ya-katiba-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-2.html

Arsenal Sign Kallstrom On Loan


  

Article image
Arsenal have confirmed that they have signed Kim Kallstrom on loan from Spartak Moscow for the remainder of the season.
The Sweden midfielder emerged as a surprise target for Arsene Wenger early on deadline-day, and the deal was finalised well in advance of the 11pm cut-off.
The 31-year-old has more than 100 international caps and was part of the Lyon squad which reached the Champions League semi-finals in 2010.
Wenger told the Arsenal website: "Kim Kallstrom is a hugely-experienced player. He is a midfielder with proven quality at both club and international level. We welcome Kim to Arsenal."
Kallstrom added: "Arsenal is an amazing club with a lot of great players and a coach who has done really well here for a long time.
"I am so pleased to come here to learn as much as possible. I'm here to do my best for Arsenal and to help out the team, so we can achieve good results for the last part of the season."
Although Kallstrom has appeared for Spartak in this season's Europa League play-offs, he will be eligible to feature for Arsenal in the Champions League.
Wenger entered the market after seeing his midfield options dwindle significantly in recent days.
Aaron Ramsey is out for up to six more weeks, while Jack Wilshere's finess is an ongoing concern and Mathieu Flamini is banned for three games.
The experienced Kallstrom will provide vital short-term cover in Wenger's midfield ahead of a daunting run of fixtures in February and March.
Arsenal face Liverpool (twice), Manchester United and Bayern Munich in succession in February, while the return leg with Bayern in March is followed by Premier League games against Tottenham, Chelsea, Manchester City and Everton.
Wenger on Friday ruled out a deadline-day move for Julian Draxler, linked with Arsenal throughout January, saying: "He will stay at Schalke".
Arsenal have also been linked a loan move for veteran Germany striker Miroslav Klose, but Lazio do not want to do a deal.
source:news and sport

Twenty Premier League Deals On Deadline Day


 
Article image
Liverpool's bid to push through a £15m deal for Ukraine forward Yevhen Konoplyanka fell apart in the final minutes of deadline day, but elsewhere others were more successful in adding to their squads as Premier League teams spent close to £130m in January.
Of the 56 signings by Premier League clubs in the window, 20 were completed on the final day, with the biggest spending coming from west London as Chelsea and Fulham both paid £12m for a player.
Chelsea signed Kurt Zouma from St Etienne, where the defender will spend the rest of the season on loan, while Fulham broke their transfer record to bring in Kostas Mitroglou from Olympiakos.
Crystal Palace sealed all of their deals on deadline day as Wayne Hennessey, Jason Puncheon, Scott Dann, Thomas Ince and Joe Ledley all made a last-minute move to south London.
Arsenal did their only business of the window on Friday with a loan deal for Swedish midfielder Kim Kallstrom as Emmanuel Frimpong moved to Barnsley on a permanent deal.
Meanwhile, Dimitar Berbatov's colourful eight years in the Premier League came to an end as he swapped Fulham's relegation battle for Monaco's title bid in Ligue 1, but manager Rene Meulensteen responded by adding loan signings Lewis Holtby and John Heitinga to the Mitroglou deal.
Dani Osvaldo's ill-fated five-month stay at Southampton is over at least for now, with the Saints' club-record signing joining Juventus on loan with a view to a permanent move.
Meanwhile, the long-anticipated loan deal for Manchester United winger Wilfried Zaha to Cardiff finally went through.
Chelsea were involved in four of the top five signings in January.
They sold Juan Mata to Manchester United for £37.1m - a club record for United, beating the £30.75m deal for Dimitar Berbatov in 2008 - while spending £21m to bring Nemanja Matic back to Stamford Bridge from Benfica.
Liverpool also missed out on Mohamed Salah, who chose Chelsea ahead of Brendan Rodgers' side in a £15m deal from Basle.
Hull City broke their transfer record twice in the window, first in signing Nikica Jelavic from Everton and then again in snapping up Shane Long from West Brom for a fee rising to £7m.
Chelsea were by far the biggest spenders, with an outlay of nearly £48m, but only nine clubs actually spent any money, with Manchester City, Tottenham, Southampton and Liverpool doing no business at all.
Fulham and West Ham were the most prolific, each bringing in seven players, with the Cottagers signing five on deadline day alone.