Saturday, June 15, 2013

MH .LAZARO NYALANDU. NAIBU WAZIRI WA UTALII TANZANIA ASISITIZA VIJANA KUTIMIZA NDOTO ZAO

MH .LAZARO NYALANDU. NAIBU WAZIRI WA UTALII TANZANIA ASISITIZA VIJANA KUTIMIZA NDOTO ZAO.
Ameyasema hayo leo hii jijini Mwanza wakati akifungua mjadala wa wanafunzi wa vyuo vikuu kanda ya ziwa  katika ukumbi wa MD 1 chuo kikuu BUGANDO. ambopo washiriki kutoka vyuo vikuu walihudhuria ikiwemo SAUT, BUGANDO , CBE, MIPANGO, CHUO CHA MAHAKAMA, TTC BUTIMBA Nk. ambapo kutoka chuo kikuu SAUT, Wanachama wa Mahusiano ya umma na Masoko SSPRA walishiriki Katika kongamano hilo. pia kulikua na mashirika binafsi kama vile Mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF, MOIL COMPANY nk. MH. Waziri amesisitiza kuwa vijana lazima wawe na maono na malengo ya ndoto zao ili kuleta maendeleo ya nchi hii. pia kulikua na paper presentation zilizofanywa na

 MPAGAZE D   Mhadhiri wa chuo kikuu SAUT , ambaye alisisitiza kwamba  vijana ndio rasilimali kubwa ya Taifa hili,
=Pia alinukuu maneno ya vitabu vya mungu "Where ther is no vision people perish"
=ukosefu wa ajira umekua ni haki kwa binadanu jambo ambalo vijana wa ki Tanzania wameridhika nalo.
=way foward, We need youths participation, we need youth's to talk issues pia alinukuu tena kitabu cha mungu,( BIBLIA) ktk kitabu cha Mwanzo. Mungu alikua anaumba kwa kuzungumza, Akasema na iwe NURU, ikawa, na Iwe ANGA, Ikawa.

. Mr Ramadhan Kimaro, Mwezeshaji , NSSF, alitoa elimu kuhusiana na umuhimu wa mfuko wa hifadhi ya jamii, na kusisitiza watu wengi waweze kujiunga na mifuko huu ambao unasaidi kutoa mafao mazuri.

Mr Jimmy Luhende ambaye alisisitiza kwamba somo la mbinu za Usaili ziweze kufundishwa vyuoni kutokana na vijana wengi kushindwa kujiamini wakati wa usaili wa kuomba kazi.

Mh. Lazaro Nyalandu Naibu waziri wa utalii  akitoa Hotuba .








Patron SSPRA Mrisho D akimkaribisha  Naibu waziri


Mr Jimmy Luhende Mtoa mada.


Mr Mpagaze D, Mhadhiri chuo kikuu SAUT.


Mh .RamadhaniKimaro Mwezeshaji NSSF.


Mwezeshaji kutoka NSSF.


Waziri mkuu mstafu Bugando



















Katibu Mkuu SSPRA Akiagana na Mh. Waziri









Katibu Mkuu SSPRA Bwana Aman E, Mbwaga (kulia )  akiwa na Mwezeshaji NSSF Mr  Kimaro




Mwenyekiti wa SSPRA kulia, katikati mr Ramdhani na kushoto ni katibu sspra Wakibadilishana mawazo.




Wanacham wa SSPRA WAKISUBIRI Usafiri kwenda BUGANDO

No comments:

Post a Comment