Jeshi la polisi Tanzania linatangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 kwa vijana waliopo katika kambi za JKT/JKU ambao wamemaliza mafunzo ya awali katika Operesheni Kikwete na Operesheni Magufuli na wenye elimu ya kidato cha nne, sita, Astashahada, Stashahada, Stashahada ya juu na Shahada katika fani mbalimbali.
Kujua sifa mbalimbali kwa waombaji bonyeza kiambatanisho hapo chini.
Chanzo: Tovuti ya Polisi www.policeforce.go.tz