Saturday, November 22, 2014

PICHA 50 BOMBA ZA MAHAFALI YA 16 SAUT MWANZA-TANZANIA, 2014 ZAFANA SANA.



Kipekee Napenda Kumshukuru MUNGU kwa kunipigania katika Mambo Mengi Hakuniacha Kamwe Ktk Safari Yangu Ya Masomo, Mpaka Nahitimu Leo Hii Shahada yanu ya Kwanza ya MAHUSIANO YA UMMA NA MASOKO Hapa Ktk Chuo Kikuu cha Mt. Agustino Tanzania. Pia Nawashukuru Sana Wazazi Wangu Baba Yangu Mpendwa Mzee Emmanuel A. Mbwaga Na Mama Yangu Mpendwa Flora Mbwaga Kwa Kunilea na Kunitunza vyema.
  Pia kwa Kuniwezesha Kwa hali Na Mali Kwa Asilimia Zote Mia Moja, Si Hivyo tu Bali Hata Wahadhiri wote Wa chuo Cha Mt Agustino Tanzania na Wafanyakazi wote Kwani Tulishirikiana vyema Ktk Mambo mengi Hasa PROs Mkuu wa Idara Ya Mahusiano ya Umma na  Matangazo,nk
 Waalimu kuanzia Shule za Msingi hadi sekondari Ninawashukuru sana, Pia SERIKALI Ninaishukuru Kwa kujenga shule za Kata kwani ndiko nilikotoka, 
Pia Nawashukuru Ndugu zangu wote wakiongozwa na Kaka Yangu Mpendwa Afande Leonatus Mwalukasa asanteni sana Pia Rafiki zangu wapendwa wote ambao tulikua nao karibu na wengine wakiwa mbali Lakini tuishirikiana kwa namna moja au nyingine Bila kuwasahau Wanachama Na viongozi wa SSPRA Ambao tumefanya nao kazi kubwa sana katika Kulijenga Jiji La MUNGU. SAUT-MWANZA.
AHSANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI.
"WITH GOD ALL THINGS ARE POSSIBLE"
By Mr AMAN E. MBWAGA
Mob:+255 765058711
Email: prof.mbwaga@gmail.com
Facebook:; Aman Mbwaga
Twitter:  @amanmbwaga
Linkeldn Aman Mbwaga.



Mr Amana Mbwaga



With MY Classmate Clara.

Mapadre Mara Baaada ya Kumaliza Misa Takatifu Kabla ya Kuanza Mahafali

Makamu Mkuu Wa Chuo Rev Dr Thadeus Mkamwa  (Katikati)Akitoka kwenye Ibada Ya Mahafali

With My Room Mate During Our Ceremony at Raila Odinga Grounds



With My Best Friend Athanas Sing'ambi





With Optatus Mazwile My Best


Athanas & Aman


With My Group Member


With My Young Bro






With my Sisters


With My Class Mate Neema



With My Sister Subhilagha

Mameneja


Former SSPRA Leaders Left Secretary General, Chairman, PRO, Right Media & Publications Chairman


Muda wa Msosi sasa
















Stay Blessed! For Watching This Photo